Naomba mnisaidieni kwa hili,vyuo vimefunguliwa na wengine washaripot na wanasema mpaka ulipe angalau nusu ya karo na fees nyingne,sasa mimi ntalipaje karo na cjajua kama bodi ya mikopo kama italipa karo yote?.na hao bodi wanatoa lini majina ? na tukienda huko chuo 2tatumia nn kama ha2jaona mikopo?. naomba msaada kwa anaeelewa
Kuwa mpole

We kubliana na masharti watakayotoa chuo. Lipa ada nusu kama BODI watakulipia unarudishiwa pesa yako kama hawatokulipia ni advantage kwako pia... Cha msingi nenda na hela ya matumizi ya kutosha..
iyo hela ya matumizi inatakiwa kama ya muda gani
iyo hela ya matumizi inatakiwa kama ya muda gani
Bwana acha kuwakashifu watu ndugu.. una maanisha nini kwa kusema "mavyuo ya kisanii"..??
dogo inategemea na vyuo,kuna vyuo kama udsm,ardhi,MUHAS,SUA,DIT hivyo ni fasta kidogo kuingiziwa,but ukisoma huko mavyuo ya kisanii ujue utadima kinyama,huko sokemu,st joseph,cjui rucco unaweza kusahau