okay tatizo ni kwamba mda uliotalewa kufanya application ni mfupi so unakuta mda mwingi server wanakuwa wapo busy kwa sababu watu wanakuwa wengi wanaoomba mkopo kwa mda huo mimi nakushauri mda mzuri wa kuomba mkopo ni usiku ambapo users wanakuwa wachache hivyo inakuwa raisi sana kwako jaribu saa kwenye saa saba lazima ufanikiwe