Msaada: Boom UDOSO

king mjuni

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
93
Reaction score
15
Jaman sory naomba kuuliza kuwa suala la boom kwa first year tunapata lin? Mana me nimeripot hapa udom tar. 30/10 lakn mpaka sasa cjapata boom langu na maisha yashaanza kuwa magumu. Naomben majibu kama watu wa udoso mnamaelezo mazur yenye uhakika au ukitaka niulza kwa kina my no. 0764717864
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…