Msaada: Brake Light Rubber

Msaada: Brake Light Rubber

hovyohovyo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
547
Reaction score
159
Ndugu zangu, Nissan xtrail yangu imeleta shida. Taa za breki hazizimi na ktk kukagua nikakuta kwenye brake pedal kuna ki-rubber kimesagika hivi na vipande vimedondoka. Fundi kasema kuwa kuna ki-rubber au kiplastiki chini ya pedal ndo kinahusika Replacement yake mpaka kupata kingine au kuchongea kiplastiki Cha ndala ndo kiwekwe.

Msaada ninaoomba ni Kama kuna mtu ktk jukwaa hili anaweza kunipa uelekeo wa kukipata hasa kwa wenye used au magari yaliyokufa. Nimejaribu hapa Shaurimoyo na Ilala kote bila bila. Pls advise
 
Mbona easy tu mimi nilichonga kiplastic tena mwenyewe nikakiweka chini ya brake pedal
 
Back
Top Bottom