Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?Habari zenu wadau wa jukwaa Hili.
Siku za karibuni nataka nifungue Saluni ya kiume(Berber shop) kwa ajili ya kuweka usafi wa mwili kwa wanaume na wanawake,
Sasa Kama unavyojuwa Biashara yoyote inahitaji brand name,hapa ndo nahitaji msaada wenu.
Jina liwe Katika lugha yoyote ile ilimradi liwe rahisi kulitamka na kupendeza.
Karibuni.
- Madison Barber Shop
- Baharia Barber Shop
- Noah Allen Gentlemen's barber shop
- The Mustached Man Barber Shop
- The Men's Room Barber shop
- Men's Fine Grooming
- The Comb Over Barber Shop
- The Humble Barber Shop
- Dar es salaam Barbershop
- Tanzanite Barber shop
- Makinikia Barber shop
- Acacie Barber Shop
- Gold Star Barber Shop
- Mtemi Barber Shop
- Mfekane Barber shop
Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?
Mkuu hii ndio Jamiiforums, watu wanaojua kuvunja moyoNimekuja hapa kwa lengo la kupata mawazo/ushauri wa wengine before making a decision about branding.
Haupaswi kusema anguko langu wakati mipango yangu haujaijuwa lakini pia nikuondoe wasiwasi kuwa hii Biashara Nina uzoefu nazo.
I have 2 barbershop and hii ni ya tatu.
danga barbershop
uso wa mbuzi
How much we can do depends on how much we can think.Mkuu hii ndio Jamiiforums, watu wanaojua kuvunja moyo
Signal iduna park barber shopDeportivo la corunha barber shop[emoji23]
Kwa hiyo kuja kuomba msaada hapa ndio umehitimisha kuwa kashindwa na sio hatua kuelekea kwenye ushindi?Anguko lako ndo linaaanzia hapa...kama eshindwa kuwa na vision ya brand name yako tu huko mbele utapaweza?