xfactor
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,511
- 1,289
Heshima kwenu wakuu wa hili jukwaa tukufu
Wakuu nahitaji kujua brand gani kutoka UK ya vifaa vya umeme kama balbu,nyaya,socket,switch,circuit breakers,extensions,multi-plugs,nakadhirika ambayo ni nzuri na ya kuaminika.
Nafikiria kufanya hii biashara hivyo nahitaji kujua soko la Tanzania linahitaji brand gani ya kutoka UK.
Pia kama una ushauri zaidi kuhusu hili wazo nakaribisha mawazo