Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari Wakuu
Tafadhali naomba kujuzwa muda(mwezi) ambao MUST huanza kutoa bridging course kwa Form VI Leavers ambao hawakukidhi vigezo vya kujiunga na course za Engineering , na taratibu za kufanya hiyo kozi ni zipi?
Mkuu, nashukuru kwa mchango wako.I think huwa between july and august. na inaitwa access course. angalua website yao kwa mahitaji
Nashukuru Mkuu, ila kuna utata, maana kwenye TCU guide book wameandika kuwa ili kusoma B.Eng, katika chuo cha MUST, lazima principle pass moja iwe ya mathematics. Je kwa aliyesoma PCB atawezaje kusoma bridging course ya B.Eng mwaka wa kwanza wakati TCU hawawezi kumchagua kusoma B.Eng hapo MUST? Au kuna kuomba chuoni moja kwa moja? Tafadhali naomba msaada wa ufafanuzi.Mkuu kwa wanafunzi wanao soma B.ENG amabo hawakupitia diploma au FTC wana miaka 4 ya masomo yani 1st year - Unaitwa Bridging course 2nd - NTA level 7 3rd year - NTA level 7B 4th year- NTA level 8 Na kwa masters inaitwa NTA level 9 na PHD inaitwa NTA level 10 Bridging course ni mwaka wako wa kwanza wa masomo kupigwa brush kuhusa maswala ya uhandisi kam Engineering Drawing na masomo ya NTA level 6(mwaka wa mwisho wa diploma) Usipokuwa na vigezo vya bachelor degree huwezi kusoma bridging course mkuu