MSAADA: Bsc in fisheries and aquaculture udsm

Dindai

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2012
Posts
931
Reaction score
1,659
Nimechaguliwa bsc in chemistry udsm lakni ningependa kusoma fisheries and aquaculture je kuna uwezekano wa kubadili course? Vp kuhusu soko la ajira la hii course naombeni msaada tafadhali!
 
Nimechaguliwa bsc in chemistry udsm lakni ningependa kusoma fisheries and aquaculture je kuna uwezekano wa kubadili course? Vp kuhusu soko la ajira la hii course naombeni msaada tafadhali!

Wakati unangoja majibu ya maswali yako,Jibu haya kwanza,ili wajuzi wakija wapate upana wa kukusaidia

1.ni kwanini unataka kuachana na Bsc.in chem....?
2.nini kimekusukuma uhamie Bsc. In aquaculture na si cozy zingine...??

Hongera kwa kuchaguliwa UDSM
 
Kipind unajaza hawakakushaur jembe au ulikuka tm ya kujaza tcu
 
Coz hiyo zaid ni kujiajir zaidi ujiandae ukimaliza uwe na capital kwa ajili ya zana za kuvulia,nenda kawe mwalimu wa chemistry au piga zaid uwe chemist wa tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…