Mwakalasi kilongo
Member
- Oct 13, 2013
- 15
- 4
Ualimu unamuhusu huyo..
Ndivyo inavyotakiwa kuwa lakini si unajua Bongo au umesahau??Hapana mkuu kwa kawaida huyo si mwalimu bali ni mwanaphysics yaan physicist na atahuska na mambo ya physics tu
But mbona kuna watu wanasoma Bed science, yy kozi za ualimu hasomi,, hy imekaaje?