comrade il
Member
- Mar 13, 2014
- 13
- 1
Naomba msaada kwa anayejua au anayesoma bachelor tajwa nahitaji jua kuhusu upatikanaji wa ajira na kama ni kujiajiri naweza kujiajiri katika nini na vp kuhusu ushindani wakati wa udahili sababu ufaulu wangu sio mkubwa nina dvn 2