C comrade il Member Joined Mar 13, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Apr 17, 2014 #1 Naomba msaada kwa anayejua au anayesoma bachelor tajwa nahitaji jua kuhusu upatikanaji wa ajira na kama ni kujiajiri naweza kujiajiri katika nini na vp kuhusu ushindani wakati wa udahili sababu ufaulu wangu sio mkubwa nina dvn 2
Naomba msaada kwa anayejua au anayesoma bachelor tajwa nahitaji jua kuhusu upatikanaji wa ajira na kama ni kujiajiri naweza kujiajiri katika nini na vp kuhusu ushindani wakati wa udahili sababu ufaulu wangu sio mkubwa nina dvn 2
snipa JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 4,437 Reaction score 2,043 Apr 17, 2014 #2 1. Ulimaliza Mwaka gani ? 2. Kidato Cha ngapi ? snipa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
C comrade il Member Joined Mar 13, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Apr 17, 2014 Thread starter #3 kidato cha sita 2013