Msaada: Bus linalotoka Dar es Salaam kwenda Uganda au njia rahisi ya kutuma mzigo kwenda Uganda

Msaada: Bus linalotoka Dar es Salaam kwenda Uganda au njia rahisi ya kutuma mzigo kwenda Uganda

melanin gal

Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
57
Reaction score
22
Habarini wakuu,

Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
 
Karibu na mwembe chai Kuna bus ziko hapo kampuni ya Friends. Nilikuw natuma na kupokea mzigo toka Uganda. Fika pale. .

Pia wanatumia mizigo kwa njia ya posta. Fika posta na ID yako na mzigo wako na Hela ya kutuma. Utatumiwa mzigo wako. .
 
Habarini wakuu,

Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
Friends kupitia Bukoba
 
Back
Top Bottom