M melanin gal Member Joined Sep 8, 2016 Posts 57 Reaction score 22 Nov 14, 2022 #1 Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda.
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 8,632 Reaction score 23,673 Nov 14, 2022 #2 Karibu na mwembe chai Kuna bus ziko hapo kampuni ya Friends. Nilikuw natuma na kupokea mzigo toka Uganda. Fika pale. . Pia wanatumia mizigo kwa njia ya posta. Fika posta na ID yako na mzigo wako na Hela ya kutuma. Utatumiwa mzigo wako. .
Karibu na mwembe chai Kuna bus ziko hapo kampuni ya Friends. Nilikuw natuma na kupokea mzigo toka Uganda. Fika pale. . Pia wanatumia mizigo kwa njia ya posta. Fika posta na ID yako na mzigo wako na Hela ya kutuma. Utatumiwa mzigo wako. .
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 14, 2022 #3 melanin gal said: Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda. Click to expand... Friends kupitia Bukoba
melanin gal said: Habarini wakuu, Naomba kuulizia bus linalotoka DSM kwenda Uganda na ofisi zao zilipo (kana lipo lolote) au njia rahisi na ya bei nafuu ya kutuma mzigo kwenda Uganda. Click to expand... Friends kupitia Bukoba