Wadau msaada kdogo..
Camera ya simu yangu inaingia uchafu, ( kuna km vimichanga vdogo vdogo vinaonekana ndani ya camera) sijui vinaingilia wapi mara kwa mara hivyo inapelejea kuona kam mawingu mawingu nikitumia camera ya nyuma, na hta ikifunguliw na kusafishwa baada ya mwez inarudi tena hiyo hali,..
Nifanye nini kuzuia isipate uchafu, n camera ya nyuma tu