I issa ramadhani JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 1,319 Reaction score 260 May 22, 2015 #1 Wadau nimekuwa admitted cardiff university for MA kwa mwaka unaokuja. Msaada tafadhari mwenye ufahamu zaid wa hiki chuo naomba udadafuzi zaidi.
Wadau nimekuwa admitted cardiff university for MA kwa mwaka unaokuja. Msaada tafadhari mwenye ufahamu zaid wa hiki chuo naomba udadafuzi zaidi.
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 May 22, 2015 #2 Na me nimekua admitted oxford university for MBA,msaada tafadhali.
Kipilipili JF-Expert Member Joined May 25, 2010 Posts 2,272 Reaction score 1,897 May 22, 2015 #3 issa ramadhani said: Wadau nimekuwa admitted cardiff university for MA kwa mwaka unaokuja. Msaada tafadhari mwenye ufahamu zaid wa hiki chuo naomba udadafuzi zaidi. Click to expand... Umesahau hapa ulipomnanga mtu kuwa ana Masters na hana kazi ila wewe huna hata cheti na "mambo yako safi"? Sasa umegraduate ndani ya mwezi mmoja kiasi cha kusoma masters? Rejea hapa: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=12746723 Cc: #tyta
issa ramadhani said: Wadau nimekuwa admitted cardiff university for MA kwa mwaka unaokuja. Msaada tafadhari mwenye ufahamu zaid wa hiki chuo naomba udadafuzi zaidi. Click to expand... Umesahau hapa ulipomnanga mtu kuwa ana Masters na hana kazi ila wewe huna hata cheti na "mambo yako safi"? Sasa umegraduate ndani ya mwezi mmoja kiasi cha kusoma masters? Rejea hapa: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?p=12746723 Cc: #tyta
YouTube JF-Expert Member Joined Jul 24, 2012 Posts 936 Reaction score 361 Jun 11, 2015 #4 msaada namii nimekuwa admitted harvard univeristy, phd