New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Habari zenu wandugu,
Nahangaika kuwahi kutuma maombi ya nafasi vyuoni kupitia nacte lakini kila nikifungua anuwani yao ya mtandao (i.e www.nacte.go.tz) inafunguka, nikishachagua CAS ile menu yake inafunguka mpaka hapa:Apply for bachelor degree, Apply for the diploma or certificate in healthy , Apply for the diploma and certificates in secondary and primary teaching education.
Baada ya hapo kila uchaguzi ninaoufanya hukataa kufunguka, nimejaribu kufix connection problems kwenye computer yangu, inaonesha mtandao unafanya kazi vizuri ila tatizo lipo kwenye source provider, nimewasiliana na nacte kupitia facebook , wanadai system ipo vizuri.
Kwa mwenye kufahamu nifanyeje naomba msaada ,,with thanks in advance.