Msaada cement ya Dangote Dar es salaam

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,012
Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam.

Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla.

Ahsanteni.
 
Wakuu,

Naomba kufahamishwa ni wapi naweza kupata cement ya dangote kwa bei ya jumla kwa hapa Dar es salaam.

Ni vyema pia kama utanipatia na bei yake kwa jumla.

Ahsanteni.

tuwasiliane humu 0752 096 782 nakuletea mzigo kunzia tani 30 tunaanza kusambaza jan
 
Bei gani kwa hapa mjini? nataka mifuko 120 sijui hiyo ni tani ngapi wana mahesabu,
 
ishaanza zalishwa na mawakala tayaari tushapewa batch ya kwanza inaingia mwishoni wa dec kwanza natumia id ambayo ni jina langu halisi kijana

hahaha!!! kumbe wewe ni wakala???!! habari za kiwandani hujui. dangote-tanzania hajaanza uzalishaji. anaendelea kuleta materials, kashusha shehena ya makaa, clinker, anaendelea kupasua miamba, nk. zile zilikuwa mbwembwe za kisiasa za JK. ile mifuko ilitoka dangote-zambia kwa ajili ya shughuli za uzinduzi. kama mmeahidiwa batch december mwishoni labda waitoe zambia! wachina bado wanajaribu mitambo, january wanakabidhi!
 
nina watu wanaofanya kazi dangote production ishaanza toka jumatano ilikua ianze kuuzwa dec 18 sema walichelewa sasa wako tayari mpaka dec 25 mzgo utaanza kuja dar
 
Nilikuwa Tunduma ile ya Zambia wanauza elfu 12
 
bei ya mfuko mmoja haitazidi 11000 ukichukua kwa jumla depends na location uliyopo hapa dar na umbal wa godaun mzgo unapotoka

Sasa mbona bei juu mkuu,hakuna tofauti na viwanda vya awali?
 
nina watu wanaofanya kazi dangote production ishaanza toka jumatano ilikua ianze kuuzwa dec 18 sema walichelewa sasa wako tayari mpaka dec 25 mzgo utaanza kuja dar
amekupa moyo tu. napajua vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…