Msaada: Cha kufanya baada ya matokeo ya form 4

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
134
Mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka jana na matokeo yamekuja amepata DIV IV 27, Jaman naomben msaada kuhusu cha kumfanyia ili aweze kuendelea na mambo ya chuo.! Au huko vyuoni ni michosho.?,
na ni chuo gani? Ambacho kitamfaa huyu dogo
msaada plz..!
Napenda nae ajitegemee kuliko kunitegemea.!
NATANGULIZA SHUKRANI...!
 
Yeye Mwenyewe anataka kufanya nini?
4 ya 27 kafikisha credit 3?
 
Yeye Mwenyewe anataka kufanya nini?
4 ya 27 kafikisha credit 3?

No.! Yaani ana
Phy D
Math D
Bios C
chem D
geo D
kis D
eng F
hist F

the namwambia aende nursing anasema hayuko Interested ila anapenda Telecommunicatio au Ardhi
sasa je atapata.? Na kama atapata ni wap? Kpo chuo kizuri?
 
kimsingi matokeo hayo si mazuri ila kwanza ijulikane yeye ana interest na kipi?,pili kama umri wake unaruhusu basi anaweza kurudia mitihani ila katka mazingira mengine tofauti na ya awali,au kama uchumi unaruhusu basi waweza kumpeleka vyuoni na akaanza na ngazi ya cheti ya fani fulani kutokana na kile anachokipenda. LAKINI PIA KAMA ATAAMUA KURUDIA BASI JARIBUNI MKAE CHINI NA MZUNGUMZE NAYE KUWA NIN KILIPELEKEA YEYE KUFELI ILI KAMA KUNAUWEZEKANO WA KUPUNGUZA KAMA SIKUACHA KABISA NA KUZINGATIA MAZURI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…