Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye
Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele simu ikawa haisomi laini yaani wali block Imei so baadae akaarudisha simu kwa mhusika na kumweleza changamoto yenyewe sasa jamaa akaichukua ile simu ili kufix hiyo shida
Ila baada ya kuifix ikawa uki upload App inagoma kufungua mfano ali upload NMB app ikawa inaandika this phone has been rooted so hauwezi kufungua app yenyewe ,msaada jamani jinsi ya kufix hii changamoto mwenye kujua au mwenye ushauri kulingana na experience yake