Msaada chanjo ya mtoto

micind

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
377
Reaction score
980
Habari tafadhali naomba msaada kwa member wanaoishi mwanza wapi naweza kupata chanjo ya mtoto mchanga (Siku kumi) ile ya begani bugando hazikuepo siku amejifungua na kituo cha afya hapa karibu tumeambiwa mpaka tar 15 naona kama mbali sana
Naomba kufahamu hospital gani wanatoa chanjo ndani ya wiki hii nitashukuru
 
Kuna mambo yanakera sana. Pole sana jaribu hospitali binafsi.
 
Achana na chanjo wewe! Kobe wanachanjwa? Wanaishi miaka 300!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…