Msaada Check engine light - ping sound Toyota kluger

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Salaam wadau,

Gari yangu aina Toyota kluger, check engine light inawaka, tulipo check na computer inasema engine nock.

Nimecheck plags zinachoma vizuri, no fuel licage, nimebadili air cleaner lakini bado Gari haina nguvu.
Je kuna mwenye uzoefu na tatizo hili, tupe uzoefu nifanyeje zaidi?

Natanguliza shukrani.
 
Toa battery terminal kwa muda wa dk 5, then plug in terminal Zach battery then washa gari ispotoka ni pm.
 
Sema hii taa haiwaki muda wote bali nikifika speed 60km/h ndiyo inawaka
 
kutakua na shida ktk engine yako nna suspect nozzels
 
Soma hiyo inaweza kukusaidia Details
Kuna sababu nyingi ya gari kuloose power
1)injector
Clean the fuel injector

2)Turbo engine
Inaweza kuwa tube connector is damaged or dirty or poor adjusted

3)overloaded cooling system
Inaweza kuwa Fan

4) Catalytic converter
Inawza kuwa bad fuel filter

5)ECU electronic control systm
Hii inahitaji umakin kutroublshot inahitaj
1473931313102.png

Sababu kwakwel zipo nying sn
 
Salaam wadau,

Gari yangu aina Toyota kluger, check engine light inawaka, tulipo check na computer inasema engine nock.

Nimecheck plags zinachoma vizuri, no fuel licage, nimebadili air cleaner lakini bado Gari haina nguvu.
Je kuna mwenye uzoefu na tatizo hili, tupe uzoefu nifanyeje zaidi?

Natanguliza shukrani.
Mwenzio nishahangaika na hicho kitaa kwenye VW yangu mpaka nimechoka,as long as inatembea kawaida tu nimeachana nacho bhana.
 
Computer inazingua inasema engine nock na unasema gar haina nguvu na taa ya engine inawaka...engine iki knock gar haiwak computer inakudanganya
 
Aisee hiyo kitu ilinisumbua vibaya mno wiki kama mbili zioizopita..... ukifika spidi flani taa inawaka.

Ila kwangu kuna waya ulikuwa umesagika.nikikumbuka na Nikipata muda nitamuuliza fundi
Anitajie...

Sema kwangu gari ilikuwa poa ina nguvu tu
 
Salaam wadau,

Gari yangu aina Toyota kluger, check engine light inawaka, tulipo check na computer inasema engine nock.

Nimecheck plags zinachoma vizuri, no fuel licage, nimebadili air cleaner lakini bado Gari haina nguvu.
Je kuna mwenye uzoefu na tatizo hili, tupe uzoefu nifanyeje zaidi?

Natanguliza shukrani.
sasa mkuu gari yako ushapima na mashine imekwambia knock sesnor so wahangaika nn?? badilisha nyingine mkuu.coz knock sensor ikiwa mbovu huwa inafanya gari kukosa nguvu kinachofanyika ni kuwa badala ya control kukosa signal kutoka kwenye knock sensor basi itahesabu kuwa kunaproblem na itabada peformance ya engine ili uharibifu usifanyike zaidi kwenye engine??

so kwa ushauri wangu wa haraka ibadili au kama vipi nambie hiyo code ilisoma code gani?? ilinikupe ushauri wa uhakika zaidi
 
Back
Top Bottom