Toa battery terminal kwa muda wa dk 5, then plug in terminal Zach battery then washa gari ispotoka ni pm.Salaam wadau,
Gari yangu aina Toyota kluger, check engine light inawaka, tulipo check na computer inasema engine nock.
Nimecheck plags zinachoma vizuri, no fuel licage, nimebadili air cleaner lakini bado Gari haina nguvu.
Je kuna mwenye uzoefu na tatizo hili, tupe uzoefu nifanyeje zaidi?
Natanguliza shukrani.
Mwenzio nishahangaika na hicho kitaa kwenye VW yangu mpaka nimechoka,as long as inatembea kawaida tu nimeachana nacho bhana.Salaam wadau,
Gari yangu aina Toyota kluger, check engine light inawaka, tulipo check na computer inasema engine nock.
Nimecheck plags zinachoma vizuri, no fuel licage, nimebadili air cleaner lakini bado Gari haina nguvu.
Je kuna mwenye uzoefu na tatizo hili, tupe uzoefu nifanyeje zaidi?
Natanguliza shukrani.
sasa mkuu gari yako ushapima na mashine imekwambia knock sesnor so wahangaika nn?? badilisha nyingine mkuu.coz knock sensor ikiwa mbovu huwa inafanya gari kukosa nguvu kinachofanyika ni kuwa badala ya control kukosa signal kutoka kwenye knock sensor basi itahesabu kuwa kunaproblem na itabada peformance ya engine ili uharibifu usifanyike zaidi kwenye engine??Salaam wadau,