Msaada: Cheti cha ndoa

Msaada: Cheti cha ndoa

moto nkali

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2012
Posts
328
Reaction score
106
Naomba msaada kwa mwenye kujua hatua za kuchukua mpaka nikapata cheti cha ndoa na sitarajii kufanya harusi.

namaanisha nataka kufunga ndoa ya kimila
 
Baada ya kulipa mahari chukua barua toka kwa wakwe inayoeleza kwamba umelipa mahari kiasi fulani hivyo umekabidhiwa binti fulani kuwa mkeo. Watu watatu waweke sahihi zao na miongoni mwao awe kiongozi wa serikali za mitaa wa eneo hilo. Baada ya hapo, nenda kwa DAS ukiwa na mkeo na hao wadhamini umpelekee hiyo barua. Ataipokea na kukupata fomu ambazo mtazijaza kisha atawapatia cheti cha ndoa
 
Back
Top Bottom