Baada ya kulipa mahari chukua barua toka kwa wakwe inayoeleza kwamba umelipa mahari kiasi fulani hivyo umekabidhiwa binti fulani kuwa mkeo. Watu watatu waweke sahihi zao na miongoni mwao awe kiongozi wa serikali za mitaa wa eneo hilo. Baada ya hapo, nenda kwa DAS ukiwa na mkeo na hao wadhamini umpelekee hiyo barua. Ataipokea na kukupata fomu ambazo mtazijaza kisha atawapatia cheti cha ndoa