Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu huko atusaidie.

NB: Kila document anayo na imewasilishwa
 
Nakupa ushauri watafute mawakala wa vyuo vikuu nje ya nchi waliopo tanzania...
Mfano TASSA,iglobal,global Education link
Hao naamini watakupa muongozo sahihi..
 
Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu huko atusaidie.

NB: Kila document anayo na imewasilishwa
Kama unamaanisha foreign award verification, basi aende ofisi za TCU ili awaeleze hiyo changamoto, sometimes hua wanachelewa kutoa hiyo assessment, ni bora ufike physically pale.
 
Inategemea na nchi uliyosomea, unapigwa bonge la interview ili kuona kama ni degree ya kusotea na sio kupewa. Na kama hicho chuo kinatambulika kimataifa.
 
Back
Top Bottom