Kama unamaanisha foreign award verification, basi aende ofisi za TCU ili awaeleze hiyo changamoto, sometimes hua wanachelewa kutoa hiyo assessment, ni bora ufike physically pale.Ndugu yangu anatakiwa kuverify cheti TCU alisoma nje miaka kadhaa nyuma, nchi na chuo vinajuliakana na wamesoma wengi tu huko. Amewasilisha vitu vyote vinavyohitajika anasubiri wampe majibu. Sasa kuna sehemu wanahitaji hiko cheti cha TCU haraka, ili apate ajira, tunaomba msaada kwa anayemjua mtu huko atusaidie.
NB: Kila document anayo na imewasilishwa