kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,862
- 3,098
Uko wapi na unaijuaje kariakoo, maana kutajiwa mtaa siyo kuliona duka, maduka mengi ya vitu vya jumla bei rahisi yamejificha hayapo barabarani,wadau habari za jioni naomba kufahamishwa yale mabegi ya shule ya dukani aina ya biowang je kariakoo naweza kuyapata kwa jumla mitaa gani,maana pande za huku nilizo yanahitajika sana nimeamua kuchangamkia fursa
Sent using Jamii Forums mobile app
nipo dar ahsante nitaendaUko wapi na unaijuaje kariakoo, maana kutajiwa mtaa siyo kuliona duka, maduka mengi ya vitu vya jumla bei rahisi yamejificha hayapo barabarani,
Nenda ddc na kongo nishakutajia mitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
nashkuru kakaNenda mtaa wa Agrey na mchikichi karibu na maduka ya vyombo ya wachina kuna maduka makubwa ya mabegi.