Msaada: Chimbo la mitumba

Nkana Young46

Member
Joined
Dec 27, 2022
Posts
11
Reaction score
13
Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba.

Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
 
Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba.

Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
Namba Iwekwe hapa ili kama yupo mwingine anayehitaji aone
 
Njoo Ilala boma mkuu. Wahi kesho saa12:00 asubuhi uwe pale.
 
Nenda ilala boma jumatatu mpaka ijumaa,kama unataka magauni grade one saa nne kamili mnada unaanza,uwahi tu usome mazingira na usiogope kuuliza zaid japo watu wagumu kweli kutoa info.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…