Soot Mkorofi
Member
- Nov 29, 2013
- 9
- 2
Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory technician. Kama kuna mtu anafaham chuo cha laboratory technician kilichosajiliwa kilichopo maeneo ya Dar es Salaam anisaidie kunielekeza kilipo.