Msaada: Chuo cha kufundisha mafunzo ya maabara (Laboratory technician) DSM

Soot Mkorofi

Member
Joined
Nov 29, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Naomba msaada wa chuo cha kusomea mambo ya maabara Dar es Salaam. Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne na hakufaulu vizuri. Hata hivyo angependa akasome mambo ya nursing au laboratory technician. Kama kuna mtu anafaham chuo cha laboratory technician kilichosajiliwa kilichopo maeneo ya Dar es Salaam anisaidie kunielekeza kilipo.
 
ungeweka pass za masomo hapo itakuwa kaz kuna vigezo wanazingatia wizara ya afya.4m 29 bhac.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…