Msaada chuo cha kusomea B.Math

Msaada chuo cha kusomea B.Math

kabyu

Member
Joined
Mar 16, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Samahani,mimi ni mgeni hapa.
Naombeni ushauri,kuna dogo langu linafanya mchakato wa application ya chuo anapenda sana akasome Bsc. mathematics .
Basi naomba kujua hiyo Bsc.mathematics iko chuo gan na ada yake kiasi gani na je akimaliza anaweza kufanya kazi gani na wapi?.je kweli anaweza akamaliza na kupata ajira?
Nashukuruni sana
.
Tafadhari msaada wenu unahitajika ndugu zangu.
 
Bsc. Mathematics ipo Udom na ni coaz nzuri sana, haimuandai kua mwalimu bt mtaalam wa hesabu, anaweza fanya kazi kwenye field yoyote ya engineering.

Nikimaanisha viwandani maana ni moja ya mtu muhim katk technical team ya eng. Yoyote bt bongo mara nyingi hawapew nafas coaz kaz zao eng. Yoyte anaweza zifanya
 
Bsc. Mathematics ipo Udom na ni coaz nzuri sana, haimuandai kua mwalimu bt mtaalam wa hesabu, anaweza fanya kazi kwenye field yoyote ya engineering. Nikimaanisha viwandani maana ni moja ya mtu muhim katk technical team ya eng. Yoyote bt bongo mara nyingi hawapew nafas coaz kaz zao eng. Yoyte anaweza zifanya

dah,kwa hyo inawezekana akasoma akaja kukaa mtaan bila kazi? Maana dogo anaipenda kweli.
 
Ni possible kama ilivo kwenye coaz nyingine zozote kwa sasa maana ni ualim na doctors ndo wanakazi za wazi lakin kaz zipo maana soko la viwanda linakua sanah hasa baada ya kugunduliwa gas hivo ni kusoma tuu
 
Kwa nini usimshauri asome B.ed Sc aka opt Math akawa na uwanja mpana zaidi?
 
Back
Top Bottom