Hapo atakua mwl wa mathematics tu .
kwa nini mkuu?Kaxome diploma bwana
nashukuru sana mkuu,vipi kuhusiana na ajira na kazi ipi anaweza akafanya?hyo coz ipo UDOM tu kaka
Bsc. Mathematics ipo Udom na ni coaz nzuri sana, haimuandai kua mwalimu bt mtaalam wa hesabu, anaweza fanya kazi kwenye field yoyote ya engineering. Nikimaanisha viwandani maana ni moja ya mtu muhim katk technical team ya eng. Yoyote bt bongo mara nyingi hawapew nafas coaz kaz zao eng. Yoyte anaweza zifanya
dah,kwa hyo inawezekana akasoma akaja kukaa mtaan bila kazi? Maana dogo anaipenda kweli.