Msaada: Chuo cha muziki/bendi

Msaada: Chuo cha muziki/bendi

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
519
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila bado sijapata contact zitakazoniwezesha kufikia lengo hili...sasa hivi naweza kupiga gitaa(galaton) na ngoma..Ok...najua kuimba pia hahahaha kidogo lakini.
Au
Naomba mwenye ufahamu na shule/chuo chochote cha muziki dar anijulishe pia...ili nikaanze chuo (nisomee kupiga kinanda)halafu nianzishe bendi kutoka huko najua ntapata members...
Sina lengo la kutafuta umaarufu wala wazo la kupata hela nimegundua tu ..nakua na raha sana nikiwa napiga muziki..napenda muziki sana.
 
nenda chuo cha sanaa bagamoyo utapata unachohitaji.
 
Niliona kipindi cha msiba wa Mzee Gurumo kuna msanii wa kike wa mziki wa kizazi kipya akiwa studio aliimba wimbo wa zamani kipindi cha hao kina mzee Gurumo, na baada ya kumaliza kuimba hapo studio, wale waliokuwa studio walifanya kazi na mzee Gurumo walisema wanatoa mafunzo kwa wanaotaka kujifunza muziki.

Nafikiri kwa maelezo haya machache niliyotoa kuhusiana na hao niliowataja bila ya shaka kuna wanaofahamu zaidi wataleta data zaidi au kukuelekeza wanapopatikana.

Kila la kheri mkuu fuata ndoto yako
 
Asee Heavenly vocal and music school wapo vizuri sana na wakongwe wa elimu ya music Tanzania, fika hapo namba yao ni 0716985625
 
Back
Top Bottom