Msaada chuo cha sheria ngazi ya cheti.

HardMartin

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
306
Reaction score
109
ndugu wanajamvi kama kicha habar knavyojieleza, naomba msaada wenu wa kuvijua vyuo vya sheria kwa ngaz ya cheto coz kunamdogoangu almalza kdato cha nne mwaka 2012 xo anataka akajiunge mwaka huu na pia ntashukuru kama ntapata na contact za vyuo hucka au njia nyingne yeyote ya kuweza kupata fomu na utaratibu wa vyuo husika, natangulza Shukran Kwa Wote Watakaonisaidia+mchana Mwema Kwa Wote.
 
Tanga kipo, naona ni hicho cha Lushoto kama ulivyoambiwa awali, nasikia ni kizuri sana
 
IJA kipo Lushoto Tanga ni chuo bora Afrika Mashariki hilo lipo wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…