Msaada: Chuo kizuri cha uhasibu kwa ngazi ya diploma(Mbeya, Iringa au Morogoro)

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Husika na kichwa cha thread!!
Nina mtu wangu wa karibu anatafuta chuo kwa ajiri ya diploma kuanzia september mwaka huu!

Nimeleta kwenu ili niweze kumuepusha na vyuo vinachipuka kila siku ambavyo vingi vimejaa ubabaishaji na sitaki yamkute yaliyomkuta wakati anasoma ngazi ya cheti!

Natanguliza shukrani!!
 
TIA wako vizuri kwa kanda hiyo


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…