E EXPULSION JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 395 Reaction score 292 Jul 15, 2019 #1 Kuna mzigo nataka kusafirisha, natakiwa nipaki mzigo usizidi kilo 50, na jumla ya mzigo na kifungashio iwe kilo 50.2. Je kwa hali hiyo CIF mpaka bandari mojawapo ya hizo inapatikanaje, na inaweza kuwa kiasi gani kwa dollar
Kuna mzigo nataka kusafirisha, natakiwa nipaki mzigo usizidi kilo 50, na jumla ya mzigo na kifungashio iwe kilo 50.2. Je kwa hali hiyo CIF mpaka bandari mojawapo ya hizo inapatikanaje, na inaweza kuwa kiasi gani kwa dollar
E EXPULSION JF-Expert Member Joined Apr 1, 2015 Posts 395 Reaction score 292 Jul 15, 2019 Thread starter #2 Msaada wenu tafadhali