Habari wapendwa, naomba msaada wa kupatiwa taarifa za clinic na massage centre nzurikwa ajili ya akina mama wajawazito iliyopo Dar es salaam. Nimewahi kusikia juu Primier clinic naomba wanaofahamu hapo vizuri au mahali pengine wanishauri. Asante

Hongera Annina, nadhani wadau watakuja soon kukupa Taarifa Muhimu, ila Nasikia Pale Tumaini Hospital kuna Daktari akina Mama huwa wanamsifia sana anaitwa Dokta Kapona, vile vile Agha kan kuna Dakatri anaitwa Shaofiq nasikia naye ni Mzuri