Msaada: Computer imejaa lakini kilichoijaza sikioni nikifute

Msaada: Computer imejaa lakini kilichoijaza sikioni nikifute

Pellman

Senior Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
195
Reaction score
220
Nina shida ya computer, Windows 7 Pro

Inaonyesha imejaa lakini siyaoni hayo mafaili ya kujaza 150 GB.

Nawezaje kupata kitu kama listi ya mafaili yote yaliyomo kwenye computer, size yake na mahala yalipo ???

Kuna command prompt naweza kutumia?

- Recycle bin is empty

- Show hidden files and folder is ticked

Thanks in advance
 
Search disk ckeanup kisha clean disk C hiyo
 
Search disk ckeanup kisha clean disk C hiyo

"search disk ckeanup"

hiyo process inafaanywa vipi?

yani hiyo ckeanup ni neno au ni application nai search wapi yani?
 
"search disk ckeanup"

hiyo process inafaanywa vipi?

yani hiyo ckeanup ni neno au ni application nai search wapi yani?
Sorry ni disk cleanup

Maelezo zaid google mkuu...utapa hatua zote...
Au cheki youtube kuna step za kufanya disk cleanup
 
Kama unadownload download vitu mtandaoni nenda

Local disk c then user then chagua jina lako hapo utakuta mafile yote ya kawaida unayotumia, kutakuwa na folder la downloads, documents, music, video etc. Unaweza right click then properties kuona ukubwa wa kila folder,

Kama ni wazee wa kuinstall kila program unayoiona nenda controll panel kisha install/uninstall software angalia humo program gani inakula gb za kutosha.
 
"Kama ni wazee wa kuinstall kila program unayoiona "
😂😂😂 Ndo ilikua tabia yangu hiyo kabla sijaijua computer vizuri
 
Back
Top Bottom