Search disk ckeanup kisha clean disk C hiyo
Sorry ni disk cleanup"search disk ckeanup"
hiyo process inafaanywa vipi?
yani hiyo ckeanup ni neno au ni application nai search wapi yani?
Kama unadownload download vitu mtandaoni nenda
Local disk c then user then chagua jina lako hapo utakuta mafile yote ya kawaida unayotumia, kutakuwa na folder la downloads, documents, music, video etc. Unaweza right click then properties kuona ukubwa wa kila folder,
Kama ni wazee wa kuinstall kila program unayoiona nenda controll panel kisha install/uninstall software angalia humo program gani inakula gb za kutosha.
πππ Ndo ilikua tabia yangu hiyo kabla sijaijua computer vizuri"Kama ni wazee wa kuinstall kila program unayoiona "