Msaada: Computer yangu inasumbua

Msaada: Computer yangu inasumbua

Nehemiahsingh

Member
Joined
Feb 20, 2021
Posts
13
Reaction score
11
Computer yangu aina hp desktop haiwaki imeanza juzi ilikuwa inawaka na kujizima hapo hapo jana nikaiwasha ikawa inaonekana elimewaka lakini hai display chochote kwenye monitor na pia feni ya kwenye power supply haizunguki na nimejalibu kutest power supply nyingine bado inafanya hivyo hivyo haiwaki.

Shida ni nini wakuu?
17143778730215481359370224845065.jpg
 
Je Ina blinking red light?
Hapana hai blinking yaani hata taa haiwaki ila ukichomeka waya wa power cable inazungusha feni ya mbele halafu inazima na taa ya ndani ya computer kwenye mother board inawaka ila haizungushi feni
 
Je Ina blinking red light?
Hiyo ni tabia ya Dell optplex. Ni Moja ya computer mbovu kuwahi kutengeneza. Ninalo.lomoja Kila likianza hiyo tabia napeleka kwa fundi siku tatu limerudi tena na taa nyekundu deni haizunguki na haliwaki
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Hapana hai blinking yaani hata taa haiwaki ila ukichomeka waya wa power cable inazungusha feni ya mbele halafu inazima na taa ya ndani ya computer kwenye mother board inawaka ila haizungushi feni
Wewe ni fundi??
 
Sikiliza beeps pia jaribu kuchomoa cpu kisha rudishia tatizo inaweza kuwa intergreted sakit au cpu
 
Kwa hiyo Sasa nafanyaje ili kulekebisha maana mpaka Sasa haiwaki taa hapa mbele ila inawaka taa ya ndani tu na mbaya zaizi ninakazi za watu za kuchora michoro ya Ramani
Kama wewe sio fundi ni ngumu kukupa maelezo ya kina maana Kuna vitu vya kupima na pia najua multimeter una na hata ukiwa nayo ngumu kuitumia jinsi ya kuisoma
 
Dell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga Capacitors
Daaa Nina desktop kama nne hivi zina blinking dim orange light mara ya kwanza nikahisi power supply ila badae nikagundua ni MB..... So nashindwa kujua tatizo nini kwenye MB
 
Hiyo ni tabia ya Dell optplex. Ni Moja ya computer mbovu kuwahi kutengeneza. Ninalo.lomoja Kila likianza hiyo tabia napeleka kwa fundi siku tatu limerudi tena na taa nyekundu deni haizunguki na haliwaki
Dell optiplex aina gani?? Modern zimetengenezwa na power supply inayobagua umeme hasahasa wa generator na solar
 
Back
Top Bottom