Nehemiahsingh
Member
- Feb 20, 2021
- 13
- 11
Hapana hai blinking yaani hata taa haiwaki ila ukichomeka waya wa power cable inazungusha feni ya mbele halafu inazima na taa ya ndani ya computer kwenye mother board inawaka ila haizungushi feniJe Ina blinking red light?
Hiyo ni tabia ya Dell optplex. Ni Moja ya computer mbovu kuwahi kutengeneza. Ninalo.lomoja Kila likianza hiyo tabia napeleka kwa fundi siku tatu limerudi tena na taa nyekundu deni haizunguki na haliwakiJe Ina blinking red light?
Wewe ni fundi??Hapana hai blinking yaani hata taa haiwaki ila ukichomeka waya wa power cable inazungusha feni ya mbele halafu inazima na taa ya ndani ya computer kwenye mother board inawaka ila haizungushi feni
Dell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga CapacitorsHiyo ni tabia ya Dell optplex. Ni Moja ya computer mbovu kuwahi kutengeneza. Ninalo.lomoja Kila likianza hiyo tabia napeleka kwa fundi siku tatu limerudi tena na taa nyekundu deni haizunguki na haliwaki
Hapana Mimi sio fundiWewe ni fundi??
Kwa hiyo Sasa nafanyaje ili kulekebisha maana mpaka Sasa haiwaki taa hapa mbele ila inawaka taa ya ndani tu na mbaya zaizi ninakazi za watu za kuchora michoro ya RamaniDell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga Capacitors
Kama wewe sio fundi ni ngumu kukupa maelezo ya kina maana Kuna vitu vya kupima na pia najua multimeter una na hata ukiwa nayo ngumu kuitumia jinsi ya kuisomaKwa hiyo Sasa nafanyaje ili kulekebisha maana mpaka Sasa haiwaki taa hapa mbele ila inawaka taa ya ndani tu na mbaya zaizi ninakazi za watu za kuchora michoro ya Ramani
Nashukuru mkuu nimefanikiwa kutatu a kumbe shida ulikuwepo kwenye mother board maji yaliindia sehemu moja yakatengeneza kutu na kukuhusu nyaya ziunganeSikiliza beeps pia jaribu kuchomoa cpu kisha rudishia tatizo inaweza kuwa intergreted sakit au cpu
Kuungua au kuunga capacitors?Dell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga Capacitors
Umetumia njia gsni boss?Nashukuru mkuu nimefanikiwa kutatu a kumbe shida ulikuwepo kwenye mother board maji yaliindia sehemu moja yakatengeneza kutu na kukuhusu nyaya ziungane
Okay! So unatakiwa uchanga capacitors?Dell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga Capacitors
ZInakuwa na matatizo mawili, kwanza kuachia (dry joint) au kufumuka kwa juu kwenye lile eneo la silver.Kuungua au kuunga capacitors?
Nipe mbinu uliyotumiaNashukuru mkuu nimefanikiwa kutatu a kumbe shida ulikuwepo kwenye mother board maji yaliindia sehemu moja yakatengeneza kutu na kukuhusu nyaya ziungane
Okay so solution tunafanyaje hapoZInakuwa na matatizo mawili, kwanza kuachia (dry joint) au kufumuka kwa juu kwenye lile eneo la silver.
Daaa Nina desktop kama nne hivi zina blinking dim orange light mara ya kwanza nikahisi power supply ila badae nikagundua ni MB..... So nashindwa kujua tatizo nini kwenye MBDell Ina blinking orange light Zina tatizo la kunga Capacitors
Kama dry joint unatakiwa kuunga kama ni imefumuka au ina rust kwa juu hiyo ni kubadiliOkay so solution tunafanyaje hapo
Dell optiplex aina gani?? Modern zimetengenezwa na power supply inayobagua umeme hasahasa wa generator na solarHiyo ni tabia ya Dell optplex. Ni Moja ya computer mbovu kuwahi kutengeneza. Ninalo.lomoja Kila likianza hiyo tabia napeleka kwa fundi siku tatu limerudi tena na taa nyekundu deni haizunguki na haliwaki