Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
429
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.

Polish_20220701_155047607.jpg
 
a
Fuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km

Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
asante sana
 
Mkuu maswali haya unauliza haf unataka kumiliki gari ya kibabe wakati uwezo wako vits.itakutesa tu bora nunua honda crossroad inafanan nahiyo jeep
 
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.

View attachment 2288777
Mzee wewe chukua kitu hicho,kama roho yako inapenda na kuifurahia,mafuta yakiisha unaipaki,yakiwepo unakula nayo maisha town.

Huku duniani ukiwa muoga na kusikiliza sana watu hautakaa umiliki vitu vizuri maisha yako yote,utashangaa wote tunabanana na ist na paso tu 🤣,jitofautishe.

Wabongo tutaogopa mpk lini kisa mafuta?😆

Siku mafuta yakikuishia unaipaki,yakiwepo toka nayo kula maisha,acha wajinga wajinga waendelee kuogopa,wkt kula haya maisha hayawasubiri 🤣🤣
 
Unapoanza mwenzio mkuu kwa ufupi tu hilo ni zaidi ya Jini Mkata upepo
Mark x,crown mnasema ni majini,na hio jeep ni jini tena?

Tusiogope sana haya mambo,hatutafanya maisha halisia,vitu vyenyewe ni vya temporary tu hivi 🤣 tuvitumie tu hatutaenda navyo mbinguni.
 
Fuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km

Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km

Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
 
Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Kuwa na engine kubwa sio sababu ya kula sana mafuta.

Kuna gari zina 2.9l zinakula mafuta sawa au zaidi ya gari za 4l.

Na kuna gari zina 4l zinakula mafuta zaidi ya gari zingine zenye 4l.

Engine configuration, technology na uzito wa gari ndo sababu kubwa inachangia utofauti kwenye ulaji wa mafuta.
 
Back
Top Bottom