Call m3 Anwar
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 290
- 504
Old model unaongelea zile za 1998 huko au hizi za kuanzia 2004 zenye milango ya kuslide miwili? Kama hizi za kuanzia 2004 mbona zinapiga 12km per litreHapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Malizia 'under ideal conditions'.Fuel Consumption - Economy - Open road:11.8 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - Combined:14.6 L/100 Km
Fuel Consumption - Economy - City:19.5 L/100 Km
Jaribu sasa ku-convert kwa 1km inakulaje
ππ Gusa unate mkuu,utajua hujui.Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
AmenMark x,crown mnasema ni majini,na hio jeep ni jini tena?
Tusiogope sana haya mambo,hatutafanya maisha halisia,vitu vyenyewe ni vya temporary tu hivi [emoji1787] tuvitumie tu hatutaenda navyo mbinguni.
Ukisikia gas guzzlers ndiyo magari hayo, 3,700 cc petrol kwa maoni ya haraka tu naona kama hiyo ni cylinders 8. Ulizia kwa mtu mwenye gari V8 ya petroli utapata jibu.Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?
Natanguliza shukrani.
zile za 2000,zina mlango mmoja wa kuslide..Old model unaongelea zile za 1998 huko au hizi za kuanzia 2004 zenye milango ya kuslide miwili? Kama hizi za kuanzia 2004 mbona zinapiga 12km per litre
Yaani mtu ukiendesha gari linakupa 5km per L, kama mafuta haupewi na wenye nchi, basi itakuwa kwenye account una 8 - 9 digitsUmelikuta la bei rahisi ukavutiwa nalo au? Maana si kawaida kutaka kumiliki hii gari huku ukifikiria mafuta. Kama ni jipya nadhani utaenda 8km na 10 highway. Kama ni used limeshakula makm na mipiston imeenda age km 3 au 2.7 kwa litre. Kama lilitunzwa vizuri ila limekula makm basi 5km per litre.
ππ. Mara nyingi unakuwa nalo halafu unakababy woker ka mizunguko. Halafu kuna wengine wanakaa umbali wa km 2 au km 1 kutoka kwake mpaka anapofanyia kazi sasa unakuta akiweka full tank kuyamaliza yanakaa. Siku ana mizunguko anachukua kagari kadogo au uber.Yaani mtu ukiendesha gari linakupa 5km per L, kama mafuta haupewi na wenye nchi, basi itakuwa kwenye account una 8 - 9 digits
Anhaa, wale wa "nina ka IST cha wife leo"[emoji2][emoji2]. Mara nyingi unakuwa nalo halafu unakababy woker ka mizunguko. Halafu kuna wengine wanakaa umbali wa km 2 au km 1 kutoka kwake mpaka anapofanyia kazi sasa unakuta akiweka full tank kuyamaliza yanakaa. Siku ana mizunguko anachukua kagari kadogo au uber.
jini linanyonya damu, kimbiaaaaHelo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?
Natanguliza shukrani.
View attachment 2288777
5KM liter moja imekataaHapo ni litre 5 kwa kms mnunuaji ajikaze tu
Nipo na gari ya mama.Anhaa, wale wa "nina ka IST cha wife leo"
Amka usingizini hamnaga jeep used inakula mafuta kidogo kiasi hicho labda. Uwe umeifunga vvti πππ au fuel injector ya pikipikiHapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
Mbaya zaidi petrolAmka usingizini hamnaga jeep used inakula mafuta kidogo kiasi hicho labda. Uwe umeifunga vvti πππ au fuel injector ya pikipiki
Kuna moja nilitaka kununua used nkamuuliza mwenye nalo linaenda km ngapi akaniambia km 5 highway nikajua tu hili na haya mafoleni ni km 2. Nikaghairi.Amka usingizini hamnaga jeep used inakula mafuta kidogo kiasi hicho labda. Uwe umeifunga vvti πππ au fuel injector ya pikipiki
Jeep 3.7L ile kilometre 9/L πππ is soKuna moja nilitaka kununua used nkamuuliza mwenye nalo linaenda km ngapi akaniambia km 5 highway nikajua tu hili na haya mafoleni ni km 2. Nikaghairi.
Wanataka zile story za 'inatumia umeme mwingi' ππJeep 3.7L ile kilometre 9/L πππ is so
hilaroius! Usithubutu kununua gari ya 25OOcc au zaidi mkononi kama hulijui vizuri
Hahahahah petroli ni sawa na pound moja na chenchiMbaya zaidi petrol
Umeme hausaidi kwenye engine kubwa labda ingefungwa motor ya kusukuma matairiWanataka zile story za 'inatumia umeme mwingi' ππ