Msaada: Consumption ya Jeep Cherokee. 3,700 CC

Hapa ndipo ninapo shangaa sana,noah old model used hapa bongo inakula 8/9km kwa litre 1,wakati ni 1990cc,hiyo gari hapo jui ni 3700cc,na inakula kidogo,wataalam hii imekaaje?@jitumirabaminne@extrovet
5kml unasema inakula kidogo
 
Helo wazee wa kazi!! Naomba kujua kwa anayejua kuhusu ulaji wa mafuta wa 2009 JEEP CHEROKEE yenye CC 3,700 inayotumia Petrol. Lita moja ya Petrol inaenda KM ngapi?

Natanguliza shukrani.

View attachment 2288777
. GRAND CHEROKEE, JEEPDIESEL3,000 CC


Unaposikia wanayama wa kazi ni hii 4×4 ni moja kati ya gari inayofanya vixuri zaidi haibagui njia on-road na off-road vehicles is getting narrower. Ni gari ambayo imesanifiws vizuri ikiwa na nguvu kubwa na ya kutosha bila kutilia shaka ,ukiwa ndani ya gari hii tegemea kukutana na leather seat ,nafasi nzuri ,bila kusahau sun roof upande wa soko Grand Cherokee competes ni pamoja na VW Touareg, Porsche Cayenne, Audi Q7, BMW X5, Range Rover Sport and Mercedes ML/GLE.

[emoji3533]Body Type:SUV

[emoji3533]Extras:Sunroof

[emoji3533]Safety Features:ABS with EBD, Adaptive Cruiser

[emoji3533]Control, Blind Spot Monitoring, Electronic Roll [emoji3585]Mitigation, Electronic Stability Control, [emoji3533]SELEC-SPEED Control, SRS Airbags, Trailer Sway Control

[emoji3533]Exterior Features:Alloy Rims, Fog Lights, Roof Rails

[emoji3533]Interior Features:Bluetooth Connectivity, Touch Screen Entertainment System


MAELEZO

Jeep Grand Cherokee ni gari ambayo ina 5-Seater SUV uzalishaji wa gari hili ulianza mwaka 1993 to present.


first Generation ilijulikana kama ZJ production tangu mwaka 1993 hadi1998,


• 2.second generation ilijulikana kwa jina la WJ uzalishaji wake ulianza mwaka 1999 hadi 2004,


• 3. third generation inajuikana kama WK uproduction iianza 2005 to 2010


4.• fourth generation known inajuikana kama WK been in productim 2011 to present.


Hiii ni moja kati ya jeep ya kwanza kuja na mfumo wa air suspension na kwa 30% vifaa vyake vinaingiiana na marcedes benz M-class


Engine

Hii ni gari ambayo ukiwa na ndoto za kuimiiki unatakiwa ufuge hela sio ndevu

Leo tujikite kuangalia ya mwaka 2014


[emoji3533]3.0-Litre diesel engine,

[emoji3533] 3.6 V6 Pentastar petrol engine,

[emoji3533] 5.7-Litre V8 petrol engine

[emoji3533]6.4-Litre V8 petrol engine.

Transmition

5-Speed automatic transmission or

8-Speed automatic transmission


Jeep Grand Cherokee Grades


Jeep Grand Cherokee Laredo – toeo hili linakuja na 17-Inch steel rims, dot-type MID, projector halogen Headlights, six way adjustable driver’s seat, brown fabric seat trim and power windows with driver auto.


Jeep Grand Cherokee Overland – hili ni toleo ambao ni base grade that comes with 17-Inch steel rims, dot-type MID, projector halogen Headlights, six way adjustable driver’s seat, brown fabric seat trim and power windows with driver auto.


Jeep Grand Cherokee Limited – hili ni toleo ambao ni 17-Inch alloy rims, paddle shifters, Downhill Assist Control, rear parking sensors, 4.2-Inch colour MID, keyless smart entry, premium steering wheel, roof rails, fog lights, privacy glass, chrome trim, power windows all auto and meter illumination control.


Jeep Grand Cherokee Summit – hili ni toeo inaokuja na 17-Inch alloy rims, paddle shifters, Downhill Assist Control, rear parking sensors, 4.2-Inch colour MID, keyless smart entry, premium steering wheel, roof rails, fog lights, privacy glass, chrome trim, power windows all auto and meter illumination control.


Jeep Grand Cherokee SRT – Toleo hili ni luxury grade that adds 18-Inch alloy rims, auto air conditioning, satellite navigation, 8-way power adjustable driver’s seat, Projector LED headlights, auto headlight levelling, LED daytime running lights, leather accented seat and door trim and woodgrain finish.


Cabin Storage

storage compartments in katika gari hii zinatumika sana kuhifadhia vitu kama smartphones, beverages, goggles, handbags etc.

first row inakuwa na 4 cup-holders, door panel storage, a glovebox and the center-box.

second row,inakuwa na 2 cup-holders on the armrest compartment, front seat pockets and door pockets.


Extras: Sunroof


2014 Jeep Grand Cherokee Safety Features: SRS Airbags, ABS with EBD, Electronic Stability Control, Adaptive Cruiser Control, Trailer Sway Control, Electronic Roll Mitigation, SELEC-SPEED Control, Blind Spot Monitoring


Jeep Grand Cherokee Fuel Consumption


[emoji123]2014 Jeep Grand Cherokee 3.0L diesel fuel consumption: km 13.33 Kwa lita 1


[emoji123]2014 Jeep Grand Cherokee 6.4L petrol fuel consumption km : 7.35 Kwa /Lita 1


Acceleretion


Jeep Grand Cherokee 3.0L diesel accelerates kutoka 0-100 km/h kwa 8.2 sec.


Jeep Grand Cherokee 6.4L diesel accelerates kutoka 0-100 km/h kwa 5.0 sec.



Ninapokwambia ufuge hela namaanisha hapa chek tank lake ni lita 93 hapa mafuta yake anzia sh 40,000 na kuedelea weka sh 10,000 hata kushitua haishitui


[emoji3533]Jeep Grand Cherokee Performance and Handling

Hapa waswahii mkae pembeni kabisa


The Jeep Grand Cherokee is a swift car that moves effortlessly. Even the entry level 3.0L diesel accelerates fast and the power delivery is consistent across the speed band. The air suspension gives it unparalleled stability and it’s capable of negotiating sharp corners at speeds where most SUVs will topple over.


[emoji3533]Jeep Grand Cherokee Service Intervals

Minor Service: At 5,000 km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, Diesel Filter and Engine Oil, etc.


[emoji3533]Major Service: At 10,000km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, Diesel Filter, ATF Filter, Cabin Filter, Front Brake Pads, ATF Oil, and Engine Oil, etc


Jeep Grand Cherokee /RELIABILITY

Hiii ni gari ambayo ipo very compicated ni vema ukazingatia yale mjerumani kakushauri katika gari hii maana tiba yake ni ngumu sana. ….hasa mfumo wake wa air suspension ukianza kusumbua jitahidi usome manul book


Unapomiiki gari hii tegemea kupata faida hizi

2. Good Performance

3. Quality finish

4.heshima kwa ukoo wako itaongezeka sana


Nisichopenda

[emoji123]Spare parts zake ni mkasi sana


Nafikiria nikomee hapo utakuwa umepata ABC ZA huyu mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…