Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
Ungeenda global publishers ungempatakwa urahisi sana.
Dah huko nikienda si ndo watanipiga picha kisiri then kesho yake inatoka front page na heading " Wema Sepetu amnyima usingizi mrembo, adai anatembea na mume wake, amsaka kona zote hadi global publishers" mweh!!
Nenda pale Maisha Club nina uhakika ndani ya wiki moja utakutana naye, au pita kila wikend jioni kuanzia saa moja usiku pale moroco hotel (kitua kati ya magomeni mapipa na mkwajuni) kuna duka maarufu sana la mkorogo... hapo pia utampata au utapata dirrection nzuri ya kumpata.Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu. Kama heading inavyosema tafadhalini naombeni mwenye contacts za huyu dada nina shida naye sana, either namba ya simu au BBM pin please. Natanguliza shukrani
Nenda pale Maisha Club nina uhakika ndani ya wiki moja utakutana naye, au pita kila wikend jioni kuanzia saa moja usiku pale moroco hotel (kitua kati ya magomeni mapipa na mkwajuni) kuna duka maarufu sana la mkorogo... hapo pia utampata au utapata dirrection nzuri ya kumpata.
Apo kwenye nyekundu, nilidhani unamaana jamaa angempakata kwa urahisi sana!Ungeenda global publishers ungempatakwa urahisi sana.