Msaada control box ya jeep.

Msaada control box ya jeep.

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
29907210002_large.jpg
Salute
IMG_20171005_211808.jpg
,naitaji control box ya jeep popote ilipo naifata,iliopo imegoma kufanya kazi,naitaji haraka iwezekanavyo,gari ni jeep grand chorokee mwaka 1996 petrol 4.0ltr, lkn pia kama kuna mtu anaweza kuniagizia poa tu,msaada tafadhari,gari ni kama hiyo juu,Nipigie 0756664797
 
Salute,naitaji control box ya jeep popote ilipo naifata,iliopo imegoma kufanya kazi,naitaji haraka iwezekanavyo,gari ni jeep grand chorokee mwaka 1996 petrol 4.0ltr, lkn pia kama kuna mtu anaweza kuniagizia poa tu,nsaada tafadhari
Agiza kupitia eBay
 
Mkuu kuna jamaa yng anagari hiohio ilipata ajali ikawa haifai
Ngoja nimuulize hlf ntakupa mrejesho
 
Ok.
Kabla hujatekeleza maamuzi ya kupata control box nyingine naomba ueleze kidogo mazingira yaliyoiharibu hiyo iliyopo, pengine "mgonjwa hajafa bali amelala tu"
Acha mzaha, haha haha, mgonjwa amesinzia tu, ajaribu kutembelea kwenye website ya kupatana, anaweza kubahatisha
 
Acha mzaha, haha haha, mgonjwa amesinzia tu, ajaribu kutembelea kwenye website ya kupatana, anaweza kubahatisha
Akitoa maelezo ninaweza kutoa proposal kutoka garage.
 
Akitoa maelezo ninaweza kutoa proposal kutoka garage.
Mkuu waliboost na v24,iliwaka nilivopaki ndo mpaka Leo,tuliifungua kuna kapasta zimeungua so hakuna namna zaidi ya kutengeneza
 
Mkuu waliboost na v24,iliwaka nilivopaki ndo mpaka Leo,tuliifungua kuna kapasta zimeungua so hakuna namna zaidi ya kutengeneza
Hiyo ni kweli inapaswa kupatikana nyingine.
Pole kwa changamoto hiyo.
 
Nipe namba,au nichek kwa simu namba cheki pale juu
 
Mkuu hizo box zipo nyingi sana usijisumbue kuagiza nje njoo dar zipo kibao mbona..harafu kumbuka ina immobilizer hiyo gari ukiingia kichwa kichwa utabamizwa kama unaweza njoo dar na hiyo yako unapewa nyingine wana kuhamishia chip,eeprom ya immobilizer ukifika kwenye gari ww ni kuchomeka na kuwasha tuu gari.
 
Nashukuru kwa ushaur mkuu,unaweza nipa maelekezo wapi wanaweza kufanya hiv wanifanyie,hata kesho naweza kuna lkn inabidi nipate ditalz za huwakika
 
Back
Top Bottom