Habari,
Naomba kama kuna mtu mwenye soft copy au hard copy ya hicho kitabu aniPM tuwasiliane.
Waandishi ni Philip Hardwick,John Langmead na Bahardul Khan.
Usijali nikikipata nitakuPM mkuu,
nilipita karikoo maduka mengi hawana iki kitabu,kama kuna duka ambalo mtu anaisi naweza kukipata pia nitashukuru akituelekeza