Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

nyak22

New Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
 
Wewe ni mwanafunzi? Na kama mwanafunzi kwanini usiende chuoni badala ya kuomba kwenye magroup yenu ya discussion au kuomba chuoni?
 
Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
Kuna science, art na business unachagua combi mwenyewe then kuna masomo matatu ya lazima jumla yanakuwa 6
 
Back
Top Bottom