nyak22 New Member Joined Mar 8, 2023 Posts 3 Reaction score 2 Apr 9, 2023 #1 Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
F Future eyes Senior Member Joined May 30, 2022 Posts 128 Reaction score 71 Apr 9, 2023 #2 Wewe ni mwanafunzi? Na kama mwanafunzi kwanini usiende chuoni badala ya kuomba kwenye magroup yenu ya discussion au kuomba chuoni?
Wewe ni mwanafunzi? Na kama mwanafunzi kwanini usiende chuoni badala ya kuomba kwenye magroup yenu ya discussion au kuomba chuoni?
bab-D JF-Expert Member Joined May 2, 2015 Posts 1,215 Reaction score 322 Apr 15, 2023 #3 nyak22 said: Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT) Click to expand... Kuna science, art na business unachagua combi mwenyewe then kuna masomo matatu ya lazima jumla yanakuwa 6
nyak22 said: Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT) Click to expand... Kuna science, art na business unachagua combi mwenyewe then kuna masomo matatu ya lazima jumla yanakuwa 6