Msaada course ya animal health

Msaada course ya animal health

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,278
Reaction score
956
Ningependa kupata mfadhili wa kwenda kusoma, course ya animal health hapo tengeru , mpwapwa, morogoro kwani kwa sasa najishughulisha na miradi midogo midogo ya mifugo isiyoweza kukidhi kulipia gharama hizo , na kwa bank riba ni kubwa mno nisingeweza na sitaweza. mfadhili huyo kama atapatikana ningependa nifunge naye mkataba kwa maana kila mwezi nitaweza kumpa kiasi cha fedha kutokana na mradi unaoendelea ninapokuwa chuo.muda chuo ni miaka 2 na muda wa kumaliza deni ni takribani miaka 4 (miezi 48). ajira ya course hii ni wazi na ipo na sasa nina certificate in general agriculture. mwenye namna ani PM au anisaidie

nawakilisha wakuu
 
Ondokana na suala la mawazo ya ufadhili. Ufadhili imekuwa wimbo unao imbwa na Tanzania kuanzia Rais hadi wananchi wanao ongozwa.

Kama umeelezea namna ya kulipia huo ufadhili, ni kwa nini usifunge mkataba na hivyo vyuo ili wakusomesha na hatimaye uwe unalipa hilo deni kama ulivyo ainisha mwenyewe?
 
MKUU najua nchi yetu ni ya matajiri na maskini na mafisadi na wenye imani labda mmoja anaweza elewa
 
Back
Top Bottom